Thursday, April 12, 2007

BLOGU ULIYOTEMBELEA KWA SASA MWANDISHI WAKE HAYUPO TAFADHARI TEMBELEA TENA BAADAE.
(Nina mizunguko miwili mitatu inayoninyima nafasi ya kuandika nikimaliza nitarudi tena)

6 comments:

Simon Kitururu said...

Twakusubiri!Hakuna noma

mzee wa mshitu said...

okay mzeeev tunakusubiri kaka tunataraji utarejea huku na rundo la information au siyo!

MTANZANIA. said...

Duh! Kila niki-beep hola.
Ok. safari njema.

mloyi said...

Kweli unaonekana uko hivyo!, lakini kama kawaida hatupendi sema ukweli, labda umeona kila siku unablog bila faida, au mwamko wa blogu umeshuka ndiyo maana hublogu siku hizi?
Karibu tena hata kama hali ni hii tutakungoja, na siku ukija upige mbiu kwenye nyumba zote kama sasa upo.
Tunakungoja umalize mihangaiko.

Egidio Ndabagoye said...

Tunakusubiri kamanda!

Christian Bwaya said...

Kesharudi jamani...!